Natafuta frame Ya Biashara

Natafuta frame Ya Biashara

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habari wanajamvi.samahani nilikua natafuta frame nzuri kwaajili ya Biashara mkoa Wa Arusha maeneo ya mjini kati kama mtu anayo au anamjua ndugu yake au jamaa aliyenayo tafadhali naomba aniPM au txt me watsapp 0714478797.Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom