Natafuta frame kariakoo

Natafuta frame kariakoo

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Natafuta frame kariakoo iwe ya reasonable price.. Anyone with an idea??
 
mkuu frem kariakoo zipo,ila tatizo ni rent!jamaa wanataka kuanzia laki9 hadi 1.2m per month,then wanakomaa ulipe kodi ya mwaka mzima!kazi ipo
 
Natafuta frame kariakoo iwe ya reasonable price.. Anyone with an idea??

Reasonable price kwako ni ipi? K'koo kuna vichochoro vya kuanzia lak5 kwa mwezi mpaka M3! Pia ungesema unahitaji kwa ajili ya shughuli zipi, wadau wangekushauri sehemu nzuri kulingana na shughuli zako! Tegatega lakn humu JF kuna madalali wa uweli tu, unaweza kupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom