Hildafranc
Senior Member
- Jan 29, 2015
- 103
- 32
Heshima kwenu wakuu,,
,natafuta Flem kwa ajili ya kuuza Nguo na urembo, kati ya maeneo haya,sinza,tabata,Ubungo, yeyote mwenye kujuwa,naomba anijuze tafadhali.iwe barabarani.
Natanguliza shukrani zangu!