Natafuta filamu hii......

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
ni filamu ambayo imechezwa miaka ya nyuma kidogo na ilipewa dhamana ya kuuzwa na jeshi la nchi ya israel , inaonyesha vita ya siku sita A-z iliyofanyika nchini israel pamoja na mataifa ya kiarabu miaka ya 1965. nimeitafuta sana ila jina lake nilikuwa silijui naombeni kama kuna mdau yeyote anaeifahamu hiyo filamu anijuze nikaipakue



heshima kwenu wanajamvi.
 
Operation six days kama skosei, ilishajadiliwa hapa muda flani.
 
mi natafuta hii hapa (Last Platoon) ya mwaka 1988, inahusu vita ya Vietnam. Niliiona zamani sana kipindi kile cha VHS, sasahivi nimeitafuta kwenye Library nyingi sijafanikiwa kuipata. Mwenye copy nzuri either VHS au soft copy tuwasiliane. kuna ka zawadi kadogo ka 20,000/=!!



 
Hakuna Torrent zake kwani? Kama hakuna ntakutafutia gharama yake ni elfu 10 tu ya bando na CD ni burn nikutumie kama upo Arusha uje Enaboishu uje kuchukua.
 
Hakuna Torrent zake kwani? Kama hakuna ntakutafutia gharama yake ni elfu 10 tu ya bando na CD ni burn nikutumie kama upo Arusha uje Enaboishu uje kuchukua.

nipo Arusha mkuu, hakuna kabisa kwenye torrent, zipo movie zingine platoon related ila hiyo ya mwaka 1988 hakuna. NimekuPM number yangu tuwasiliane hata kesho ikipatikana niifuate..
 
nipo Arusha mkuu, hakuna kabisa kwenye torrent, zipo movie zingine platoon related ila hiyo ya mwaka 1988 hakuna. NimekuPM number yangu tuwasiliane hata kesho ikipatikana niifuate..

Usihofu kaka nina movie hadi za mwaka 1934,1947 hadi za 1962(Cleopatra) tena HD sembuse hyo ya Juzi tu 1988 Last Platoon andika umeipata,namba yaku nshaisave inaishia 26.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…