Natafuta field

Oct 3, 2016
74
23
Habari zenu wana JF. Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nimesoma BUSINESS ADMINISTRATION na natafuta field ya kufanya ndani ya miezi mitatu, any private company au sehemu yenye kipengele cha business administration. Ahsante
 
Utapokea majibu mazuri sana kuhusu ombi lako sababu wengi watajua ni msichana.

Ila usikate tamaa!
Kazi Ngumu sikuhizi wengine sie tunawaogopa hao kina Dada maana Mizinga huanza siku ya kutambulishana tu...nani anataka hayo... Dada upo salama salimini... Mshukuru Magufuli
 
Back
Top Bottom