Natafuta field attachment

G.O.A.T

Member
Joined
May 15, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Salaam wana JF! Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha, nasoma shahada ya uhasibu mwaka wa pili, natafuta sehemu ya kufanyia field! Nimekwisha peleka barua sehemu zaidi ya sita lakini kote majibu yanakuwa ndivyo sivyo! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia...NTASHUKURU SANA!
 
Duuu hili joto hasiraaaaaaa.....na pesa hakunaaaaaaaa @FP
 

Pale dukani kwa shirima vp?jaribu usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…