Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao kusoma vijijini. Na baada ya mazishi ile familia haikurudi tena babati .nimeitafuta familia yake yaan mke wake,watot wake muda mrefu walau niwajulie hali zao paspo mafanikio .kama kuna mtu anaijua hii familia au mwenye taarifa nayo naomba ani pm tafadhali Sana.