Natafuta excavator

Natafuta excavator

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
768
Habari zenu wadau! Natafuta used track excavator ya tani 20 mpaka 25 iwe katika hali nzuri not more than 8000 hours! Yaweza kua caterpillar,komatsu,JCB au hyundai
 
Unabei gani kwa Caterpillar?
 
Habari zenu wadau! Natafuta used track excavator ya tani 20 mpaka 25 iwe katika hali nzuri not more than 8000 hours! Yaweza kua caterpillar,komatsu,JCB au hyundai

taja bei, taja models za Excavator ili tuelewe kwa vile kuna watu wengine wanataka HITACHI ZAXIS 350-3F,CARTERPILLAH 320D L, HYUNDAI ROLEX 210, KOBELCO SR 135 hizi ndizo types model, ukitaka kujua zaidi nenda [www.headwaterequipment.com] kuna moja ipo canada ilikuwa ni CAT 32O ya mwaka 1992 bei ni USD 35,000, wakala ni Eric stringer, endapo ukitaka waisafirishe mpaka Dar-es salaam port ita cost USD 50,000 kama upo tayari funguka
 
Mkuu nenda Kimara-Baruti pale mwone mzee Limo anayo kibao atakupa mwongozo.
 
Usipate shida nipigie mimi ni sales engineer wa vitu hivyo na mkopo upo. 0767386011. Au 0715
 
taja bei, taja models za Excavator ili tuelewe kwa vile kuna watu wengine wanataka HITACHI ZAXIS 350-3F,CARTERPILLAH 320D L, HYUNDAI ROLEX 210, KOBELCO SR 135 hizi ndizo types model, ukitaka kujua zaidi nenda [www.headwaterequipment.com] kuna moja ipo canada ilikuwa ni CAT 32O ya mwaka 1992 bei ni USD 35,000, wakala ni Eric stringer, endapo ukitaka waisafirishe mpaka Dar-es salaam port ita cost USD 50,000 kama upo tayari funguka

Katika zote ulizotaja nipo interested na 320 CAT au hyundai 210 lakini tatizo 1992 ni ya siku nyingi nipo katika kutafuta ya kwanzia 2003. Anyways nitaichek hiyo website
 
hitachi inapendwa kwasababu engine yake ni ISUZU kwa hiyo spare zinapatikana kirahisi, hitachi ilipindisha bush rod lakini tukaenda kwenye duka lenye spare za isuzu na tukapewa
 
Habari zenu wadau! Natafuta used track excavator ya tani 20 mpaka 25 iwe katika hali nzuri not more than 8000 hours! Yaweza kua caterpillar,komatsu,JCB au hyundai

Check na jamaa wa MANTRAC-Nyerere Rd jirani Quality Plaza. Mara ya mwisho niliona wakiwa na used but well-maintained HD machinery
 
hitachi inapendwa kwasababu engine yake ni ISUZU kwa hiyo spare zinapatikana kirahisi, hitachi ilipindisha bush rod lakini tukaenda kwenye duka lenye spare za isuzu na tukapewa

[TABLE="class: full_display"]
[TR]
[TD="class: full_display_image"]
Cat%20320%20CL%20Large2.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

[TD="class: full_display_category"]Manufacturer:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]Caterpillar[/TD]

[TD="class: full_display_category"]Model:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]320 CL[/TD]

[TD="class: full_display_category"]Year:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]2004[/TD]

[TD="class: full_display_category"]Description:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]Very clean and ready to go. [/TD]

[TD="class: full_display_category"]Hours:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]1560[/TD]

[TD="class: full_display_category"]Price:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]$129,000.00[/TD]

[TD="class: full_display_category"]FOB:[/TD]
[TD="class: full_display_content"]Houston,Texas[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
imetulia poa tena sana tu. Hivi ndiyo vitu vinavyotakiwa kwenye production, nakumbuka kuna mnyarwanda anaishi goma-drc alikuwa anataka kununua comat'su used, nikampa ushauri kwamba usinunue kwa bei ya 45,000 kwani ilikuwa na matatizo kwenye swing reduction, hydraulic pump na travel reduction gear lakini hakunisikia, alipoinunua na kuipeleka goma mpaka leo imeshndwa kufanya kazi
 
Ebwanaeeee imetulia sana. Hiyo bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom