Jackson Barnabas
Member
- Jun 22, 2013
- 61
- 3
Naomba mnisaidie kunielekeza ni sehemu gan hapa dodoma wanafundisha vizuri english course kwan kuna mdogo wangu anatokea mkoan anataka aje kusoma!
Mwenye uelewa na hiyo/hizo sehemu naomba anisaidie tafadhali!