Natafuta Engeneer kwa ajili ya Ujenzi

Natafuta Engeneer kwa ajili ya Ujenzi

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
Ndugu wadau,

Naomba msaada kama kuna mtu anamfahamu engeneer mzuri na mwaminifu sana kwenye maswala ya ujenzi wa nyumba kama ifuatavyo:

Sehemu: Kigamboni eneo la kibada kwenye viwanja vya serikali. Karibu na full shangwe.

Aina ya nyumba: Ni nyumba ya ghorofa moja

Ramani: Ramani ninayo tayari

Building permit: Iko kwenye process na itapatikana soon

Taratibu za ujenzi: Ujenzi utakuwa wa awamu na nitashauriana na huyo engineer on the best way to go about this.

Bei: Iwe ni makubaliano maana mimi si fisadi na asinicharge kama vile anajenga majumba ya kampuni.

Ujenzi unaanza lini: Mara moja mara baada ya kupata building permit;

Aina ya engineer: Engineer mwenye kampuni ni mzuri zaidi kwani nahisi kwenye kujenga ghorofa jamaa wa manispaa huwa wanafuatilia quality ya ujenzi na mara nyingi wanataka kuwe na bago la kampuni inayojenga (ila kwa mwenye ushauri zaidi kuhusu jambo hili nitashukuru sana.

Kama unamfahamu engineer mzuri ambaye ni mwaminifu naomba unipe namba yake au email then mimi nitampigia/mwandikia maana kwa sasa niko nje ya nchi na nitarudi baada ya wiki mbili. Nashukuru kwa msaada wenu.
 
Hiyo permit unai process vipi kama huna mhandisi? Au unahitaji mkandarasi?
 
Labda lugha tuu mkuu. Lakini ieleweke tu kwamba nina ramani iliyochorwa kitaalamu na nimeipeleka manispaa kwa ajili ya kibali na sasa natafuta mkandarasi wa ujenzi. Situmii kampuni iliyonichorea ramani (kwa sababu binafsi). Nashukuru kwa masahihisho mkuu.
 
Labda lugha tuu mkuu. Lakini ieleweke tu kwamba nina ramani iliyochorwa kitaalamu na nimeipeleka manispaa kwa ajili ya kibali na sasa natafuta mkandarasi wa ujenzi. Situmii kampuni iliyonichorea ramani (kwa sababu binafsi). Nashukuru kwa masahihisho mkuu.
Pamoja mkuu!
 
YECCO (T) LTD, 0715865544 samora street posta, waone watakusaidia kwaukamilifu.
 
ndugu wadau,

naomba msaada kama kuna mtu anamfahamu engeneer mzuri na mwaminifu sana kwenye maswala ya ujenzi wa nyumba kama ifuatavyo:

sehemu: kigamboni eneo la kibada kwenye viwanja vya serikali. Karibu na full shangwe.

aina ya nyumba: ni nyumba ya ghorofa moja

ramani: ramani ninayo tayari

building permit: iko kwenye process na itapatikana soon

taratibu za ujenzi: ujenzi utakuwa wa awamu na nitashauriana na huyo engineer on the best way to go about this.

bei: iwe ni makubaliano maana mimi si fisadi na asinicharge kama vile anajenga majumba ya kampuni.

ujenzi unaanza lini: mara moja mara baada ya kupata building permit;

aina ya engineer: engineer mwenye kampuni ni mzuri zaidi kwani nahisi kwenye kujenga ghorofa jamaa wa manispaa huwa wanafuatilia quality ya ujenzi na mara nyingi wanataka kuwe na bago la kampuni inayojenga (ila kwa mwenye ushauri zaidi kuhusu jambo hili nitashukuru sana.

Kama unamfahamu engineer mzuri ambaye ni mwaminifu naomba unipe namba yake au email then mimi nitampigia/mwandikia maana kwa sasa niko nje ya nchi na nitarudi baada ya wiki mbili. Nashukuru kwa msaada wenu.

check pm
 
mie dodoma natumia fundi wangu bwana charle sidhani hata kama alienda chuo cha ufundi ila naona kakibanda kangu amekaweka safi kabisa na kwa bei nafuu
 
J&sheme inv. Company mkuu hawa wako makini sana na katika masuala ya ujenzi na niwashauri wazuri sana pale unapohiitaji ushauri kuhusu maswala ya ujenzi.
 
Ushauri Mimi nimejenga Kwa kutumia Fundi mchundo. Kama una hela ya engineer sawa lakini sio mchezo.
 
Wacheki hawa jamaa wako facebook wanaitwa Themi builder wana na samle za nyumba zao wameweka,Wamemjengea rafiki yangu nyumba ya ghorofa moja maeneo ya kimara,na bei zao ni reasonable,no zao ni O75543OO99.
 
Taarifa; Kuna jengo la ghorofa 16 limeporomoka city centre so kuwa makini na wakandarasi kama Yule anaeitwa lucky construction. Nakushauri kamuone mkuu wa mkoa, kamanda wa polisi, na mkurugenzi wa OSHA tz, wakuoneshe wahandisi walio bora usije ukaenda kwa eng. wa manspaa, wala diwani kwani naona wote hawana say. Wale wa ilala wote wapo ndani. Ndio TZ government likitokea la kutokea unasema ulireport kwa kamanda, RC nana atakukamata
 
Back
Top Bottom