Mkuu Kuna nyumba inauzwa hapa kishiri mwenyewe anahitaji kurudi shamba upepo wa mjini umemuendea vibaya.
Ila Kama unataka kujenga mza pasipo na mawe sehemu zipo nyingi mno like malaika road,nyakato sokoni,nation, igoma,nyashishi,buhongwa, nyamhongolo, buswelu,mwanza town hapo Uhuru waweza nunua nyumba za 1960 ukaweka kitu modern Ni wewe na mfuko wako chaguzi kwako mkuu