Natafuta eneo la kuweka mgahawa

Natafuta eneo la kuweka mgahawa

Mrs Dee

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
209
Reaction score
324
natafuta eneo la kuweka mgahawa kwa dar
mgahawa huo unasifa zifuatazo
utakua unatoa chakula classic ila bei affordable
sifa za eneo ambalo nalitaka
1.kuwe na parking
2.pawe pa kubwa usawa wa frem 3 au 4 za dar

maeneo ya riverside,mbagala,k.koo, na mengine ya uchaguzi
nawakaribisha wadau kwa kunisaidia kusajest na kuyoa wazo eneo liwe lipi
 
Kuna eneo huku Feri Litakufaa?Liko sehemu nzuri.kwa ajili ya mgahawa
 
Back
Top Bottom