Natafuta eneo la kiwanja under 1M

Natafuta eneo la kiwanja under 1M

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,367
Reaction score
12,959
Habarini wadau wabhabha na wabhamayo mimi ni Msukuma niko Mwanza nimeuza kang'ombe kaurisi sasa natafuta namimi kakiwanja sehem nzuri hata kama ni kijijini lakini karibu na miundombinu au kijiji kilichochangamka kama mjini kipo sawa.

Nitashukuru
 
Kasema siyo lazima mjini hata kijiji kilichochangamka, msimkatishe tamaa mbona kubwa hiyo na anapata fresh. Nenda Itobo nzega utapata mgsosya
 
Unatafuta kiwanja wapi? Au unajua wote tupo mwanza@Mcqueenen,
 
Maeneo ya vijijini unapata.

Nilionyeshwa kiwanja/shamba maeneo fulani ya Pwani ndani ndani...unafika Mbagala rangi tatu alafu unaingia ndani kwa mwendo kama wa saa nzima hivi na robo au nusu...ukubwa wa eneo na bei yake unapata maeneo ya laki tano tano kadhaa yanayotosha makazi ya Mtu na eneo baki la kujinafasi.
 
Back
Top Bottom