Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 342
- 904
Write your reply..jaman mkujeni wenye plot zenu ila boss tushirikishe bajeti yako Kwenye maandaliz yako Kwenye hiyo mambo....
Kuna sehemu nimeliona maeneo ya Kijichi na liko barabarani pia uzuri hakuna competition hilo eneo na kwa nyuma kuna parking ya magari.
Daah one day yesBudget ipo 8 - 10 M
Daah one day yes
Nimeji-wish siku na mimi nitapata mtaji kama huwo.Mbona umesema hvyo tajiri ??
Umetumia shilingapi kukamilisha kununua vifaa even me namchongo huo wakuanzisha iyo project mzeeee
Mkuu kwa 4M unaweza fungua hii kitu au ndogo sanaVifaa sijakamilisha vyote in such baadhi ninavyo ila kila kitu mpaka tunaanza kazi nimekadiria roughly ni between 3.5 M mpaka 4.5 M.
Mkuu kwa 4M unaweza fungua hii kitu au ndogo sana
KWa maeneo ya mikocheni ungefaulu San dear kule hakuna competition kabisaa,jaribu kafanye survey
Duu kwahiyo minimum shingapi na maximum shingapi ati.Huwezi itaishia kwenye rent hyo.
Kuna vitu kama
1. Chuma la kupandishia gari au la matofali.
2. Sim Tank
3. Kuweka floor sehem ya kuoshea
4. Luku kama umeme hamna
5. Maji ya Dawasco ( Watu wanapenda ya Bomba )
Na hela nyingine ya emergency kama 1 M mpaka 2 M cz mashine zitaitaji service at some point.
Mkuu pressure washer umechukua ngap?na wap zinapata za uhakika sio hiz mchina?