Natafuta earpod Orijino za apple

Ni kweli kabisa huwezi pata kwa hiyo bei.Tatizo watu wengi sio wafuatiliaji wanaishi tu yaani wapowapo hawajui ipi original na ipi ni fake.

Ni kweli most Tanzanian hawajui sana ku deal na brand pia kupata kitu genuine..
 
With exception of istore ambao ni authorized resellers wa apple Hamna earpods mpya ambazo ni genuine kwa Tanzania. Istore mlimani city minimum Price zinauzwa elfu 69.

Ukitaka authentic/original earpods kwa bongo ni kununua second hand ( mtumba)
, ukiziweka masikioni u will understand what am saying...kama unahitaji mtumba original ni pm
 
Maneno tuu mbona hata mchina anaandika hayo maneno, hakuna apple product ya hiyo bei!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…