natafuta dvd empty za 7gb au 8gb

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Kuna software nimedownload kwa mtindo wa image.(Iso) so nahitaji kuburn lakini kwenye dvd hz za 4.7gb haikai. Naombeni mawazo yenu na msaada wenu
 
Kuna software nimedownload kwa mtindo wa image.(Iso) so nahitaji kuburn lakini kwenye dvd hz za 4.7gb haikai. Naombeni mawazo yenu na msaada wenu

Pia kama unatumia sofware nzuri ya kuuunguza image kuna njia nadhani unaweza kugawa file moja kubwa kwenye DVD mbili na lika aoutorun na kuendee mtiririko vzuri . Kama sio software ni game basi tafuta DVD yenye ukubwa sawa au zaidi

Nero ni moja ya burning sofware inayoweza kufanya hivi . Jaribu kutafiti hata WINRAR. Kwa utundu sometime unaweza kuchunguza file baada ya kuetrat image kwenye HDD image ukafuta usizohitaji. eg Kama ina lugha nyingi unafuta zote unabaki na english. Hii ni kama file may be ni 5 GB. unaweza kubahatisha kuchkuacua na kufuta visivyo vya muhimu.......

Muhimu
hakikisha una back up ya orginal file kalbla ya kuanza kufanya mautundu
 
DVD za 8.5 GB zipo naamini kama upo Dar utazipata tafuta tu maana mie nipo Moro huwa nazipata kwa sh 1000/= tu kuna duka moja tu hapa huwa linauza. Ukitaka pakage ya DVD 10 sh 10,000/=
 
Mkuu nina nero 7 na ashampoo hapa,unaweza kunipa procedures za hiyo utundu??
 
dvd za 8.5 gb zipo naamini kama upo dar utazipata tafuta tu maana mie nipo moro huwa nazipata kwa sh 1000/= tu kuna duka moja tu hapa huwa linauza. Ukitaka pakage ya dvd 10 sh 10,000/=

nipo dar lakini kila ninapoulizia naambiwa hazipo.labda niende posta huko aliponielekeza mkuu hapo juu
 
Mkuu nina nero 7 na ashampoo hapa,unaweza kunipa procedures za hiyo utundu??

Procedure sikumbuki ila nili google tu. mfano soma hapa hii forum baadhi ya comment zina ushauri mzuri

kama hii ukitumia program ya ya 7-zip.. (Nadhani hata winrar inaweza fanya hivi)

Its easier than that. Get DVDFab 8.1.0.5 (​
We don't allow that) there is an option to split one DVD into two. You can use this function on ISO files as well. You simply click and burn.

Yahoo answer best answer anasema hivi

Na hii comment nyingine kwenye forum ya nero wanasema kuwanzia Version 10 ya nero unaweza fanya hivo
 
Kipindi fulani nami niliwahi patwa na tatizo kama hili. Lakini dawa ni kutafuta DVD shink software. Itakusaidia kupunguza ukubwa wa hilo file toka any Gb kwenda kwenye 4.7 or less. Check software inaitwa DVD Shrink 3.2
 
Nadhani hii DVD Shrink inafanya kazi kwenye Video tu lakini sio software
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…