Natafuta DRUM UNIT ya Photocopy machine aina ya IR.

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Posts
334
Reaction score
64
Photocopy yangu inasema System ERROR E100.wapi nitapa Drum unit ya Kununua?ni IR 1600
 


aina gani ya photocopy machine? kuna IR 2016/NGP28 wewe ni ipi unataka? na unataka kwa bei gani

kama upo ok naweza kukuletea made in china
 
Ni ir 1600 mkuu.nipn bei yake na uniambie new au used.


aina gani ya photocopy machine? Kuna ir 2016/ngp28 wewe ni ipi unataka? Na unataka kwa bei gani

kama upo ok naweza kukuletea made in china
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…