Kwa hilo ucjal kuna jamaa anaitwa singaile kabobea sana na ndo kazi yake inayomuweka mjini yupo tazara. Kaisomea kazi hyo na ana jihusish na uuzaji wa mbwa.ukufika kwake bila shaka utathibitish ninayoyasema.wateja wake mara nyingi ambao humpelekea mbwa kwa mafunzo ni wahindi. Ka vp tuwasiliane ili nikudirect kwake.0682812668
Sasa naona wewe mwenyewe unaitwa "SINGAILE" na huyo Dog Trainer naye anaitwa "SINGAILE" hii imekaaje mkuu? Au wewe mwenyewe ndiyo Singaile? Tafadhali ni-PM basi kwa mawasiliano zaidi! Hi namba ya Singaile tayari nimeisave
Kwa hilo ucjal kuna jamaa anaitwa singaile kabobea sana na ndo kazi yake inayomuweka mjini yupo tazara. Kaisomea kazi hyo na ana jihusish na uuzaji wa mbwa.ukufika kwake bila shaka utathibitish ninayoyasema.wateja wake mara nyingi ambao humpelekea mbwa kwa mafunzo ni wahindi. Ka vp tuwasiliane ili nikudirect kwake.0682812668
Yeah, lakini mimi pia niliwahi kufundishiwa pure GS, jamaa (Polisi) walikuwa full sanaa na maneno yao meeengi kuwa wameenda South Africa etc...at the end of the day nothing happened! Tamaa inawaumiza, utakuta mtu yupo kazini and then anakuwa ana tenda kama 6 za kufundisha mbwa...au hata zikiwa 3 unawezaje kuzitekeleza?? Kweli kuna watu ni full sanaa
Nakubaliana na wewe; kuna mmoja alinizengua miaka mitatu iliyopita, hana lolote! This year tena nikawa natafuta trainer, akapata habari, akaja home, hakujua kama ni same guy (nilihama makazi), tulipokuitana naye uso kwa uso mwenyewe akaona aibu! Nikamwambia yule aliyemleta kama ni huyu hamna shida, mwenyewe anajua kuwa simhitaji hapa....
Jamaa lisepa kimya, so ni kweli mkuu