Waungwana natafuta kidi-frizer kidogo cha kuweza kutunza kama kilo 100 za samaki used mwenye nacho anaitafute haraka nipo dsm maeneo ya kimara baruti...!
Ushauri wangu: ungeingia kariakoo ukapiga kiatu kwenye used fridges and freezers utapata kwa bei nzuri na watakupa warraty. Hiyo ya kutaka mwenye nayo akupigie nina mashaka utaishia kununua scrap