Tuwasiliane.. Njoo inbox,nipo mkuu naishi mbezi beach tank bovu
Gari ndogo za abiria..Dereva wa gari gani
NimekuPm mkuuNatafuta Dereva, Dar es salaam.
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.
Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.
Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.
Tutafutane.
Mfuate inboxNipo hapa mkuu
Gari nyeupe ndogo ya kumtembeza boss kwenye miti kasi yake. Ni Toyota Corolla.Dereva wa gari gani
kiongozi mi nipo tayari kufanya japo nakaa tabata mawasiliano 0657145555Natafuta Dereva, Dar es salaam.