mhugo hantish
Senior Member
- Apr 21, 2015
- 137
- 36
Wakuu, habari?
Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.