Nenda kapime pressure ya macho! Nenda CCBRT au Muhimbili. Pressure ya macho husababisha ugojwa unaitwa glaukoma huu huua macho na unaweza kuwa kupofu kama usipowahi. Mara nyingi wanauitwa silent killer. kwa maana hiyo wahi mapema kama unayo basi uanze kutumia dawa au ufanye upasuaji