natafuta dawa ya kutongoza

muone Bishanga, ana dawa za unga na maji, za kupaka na kuoga, ukitumia tu kila ukimuona mwanamke mistari itakuwa inashuka
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hii huna kwenye kabrasha zako?kijana anajikill softly huku!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kutongoza bado kupo dunia ya leo? dunia hii ya sasa hakuna kitu rahisi kama mwanamke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…