Natafuta dawa ya kienyeji ya kutibu malaria

Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.

Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.

Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Kifo kitakuumbua ndugu yangu,madawa ya kienyeji ya nini?nenda hospitali nzuri achana na hospitali uchwara!
 
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.

Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.

Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Kuna moja ya kihaya nikifika home nitaisoma jina ndo huwa natumia
 
Mkuu nisaidie kiasi cha dose/dosage ya dawa hii

Mimi huwa naiosha vizuri naikatakata vipande vidogo vidogo, baada ya hapo nailoweka kwa muda wa saa 2-3.. Dose huwa natumia kutwa mara 3 yaani Asubuhi, mchana na jioni..( kikombe kimoja kimoja cha chai mara hizo 3).Homahoma, Malaria...kichwa kuumwa na hata mvurugiko huisha nikitumia Aloevera

NB; Haishauriwi kuichemsha kwani wanasema utaipunguzia uwezo wake
 
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.

Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.

Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Nenda ukanunue zandu, dawa ya kienyeji ya kihindi!
Utaipata maduka ya dawa za kihindi!
Nina mwaka wa 9 hivi sasa sijui malaria ni kitu gani!
 
Iyo dawa ya kihaya inaitwa MUSHANA,ipo ktk maduka ya dawa za asili kiukwel inasifika sana japo cjawahi itumia lkn nmepata cfa zake, me natumia mchanganyiko huu hapa :
_Chukua majan fulani yanaitw mchai chai ykujaa vganja viwil,limao 1 lilokomaa likate vipande vinne bila kulimenya wala kulkamua, chkua tangawiz zakutosha zikate Kate bila kuzimenya,chukua lita 1 ya maji changanya na huo mchanganyiko kisha chemsha haswa hadi upate kuanzia glass 1 au zaid,chuja vzr na unywe huo mchanganyiko Mar 1 kwa cku, km Malaria kal tumia mar1 kwa ck ndan ya ck 5,km co kal bc tumia ck 3 au hadi utakapoona uko fresh.
_Ni dawa nzuri sana, kwa uwezo wa Mungu utapona kabsa na utazsaau dawa za wazungu.
Nyongeza:pendelea sana kutafuna vitunguu saumu mara kwa mara, ni kinga nzuri sana.
 
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.

Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.

Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Iyo dawa ya kihaya inaitwa MUSHANA,ipo ktk maduka ya dawa za asili kiukwel inasifika sana japo cjawahi itumia lkn nmepata cfa zake, me natumia mchanganyiko huu hapa :<br />_Chukua majan fulani yanaitw mchai chai ykujaa vganja viwil,limao 1 lilokomaa likate vipande vinne bila kulimenya wala kulkamua, chkua tangawiz zakutosha zikate Kate bila kuzimenya,chukua lita 1 ya maji changanya na huo mchanganyiko kisha chemsha haswa hadi upate kuanzia glass 1 au zaid,chuja vzr na unywe huo mchanganyiko Mar 1 kwa cku, km Malaria kal tumia mar1 kwa ck ndan ya ck 5,km co kal bc tumia ck 3 au hadi utakapoona uko fresh. <br />_Ni dawa nzuri sana, kwa uwezo wa Mungu utapona kabsa na utazsaau dawa za wazungu. <br />Nyongeza:pendelea sana kutafuna vitunguu saumu mara kwa mara, ni kinga nzuri sana.
 
Iyo dawa ya kihaya inaitwa MUSHANA,ipo ktk maduka ya dawa za asili kiukwel inasifika sana japo cjawahi itumia lkn nmepata cfa zake, me natumia mchanganyiko huu hapa :
_Chukua majan fulani yanaitw mchai chai ykujaa vganja viwil,limao 1 lilokomaa likate vipande vinne bila kulimenya wala kulkamua, chkua tangawiz zakutosha zikate Kate bila kuzimenya,chukua lita 1 ya maji changanya na huo mchanganyiko kisha chemsha haswa hadi upate kuanzia glass 1 au zaid,chuja vzr na unywe huo mchanganyiko Mar 1 kwa cku, km Malaria kal tumia mar1 kwa ck ndan ya ck 5,km co kal bc tumia ck 3 au hadi utakapoona uko fresh.
_Ni dawa nzuri sana, kwa uwezo wa Mungu utapona kabsa na utazsaau dawa za wazungu.
Nyongeza:pendelea sana kutafuna vitunguu saumu mara kwa mara, ni kinga nzuri sana.
Mungu akubariki mkuu
 
Back
Top Bottom