Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,543
- 23,844
Wakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani
Uko wap mkuu ,kuna mtu anashida ya homa ya iniWakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani