ninacho kifahamu kuhusu shabu ni dawa ya kusafishia maji hasa maji ya visima uswahilini yanakuwa meupe na unaweza kuyanywa bila ya kuchemsha, kama uko dar nenda kwenye masoko ya usahilini magomeni,mwananyamala ukiuliza tu utaonyeshwa ama sehemu yenye shida ya maji wanaotumia maji ya visima.
sasa hiyo kazi nyingine mmh! ukiiweka tu kwenye maji yanakuwa yamebadilika rangi sasa uje uiweke huko kunako si utaharibu hadi maini? mambo mengine tunajitakia wenyewe haya ukienda hospitali utamwambia daktari ulifanyaje??