Natafuta dada wa kuanzisha nae serious relationship

Natafuta dada wa kuanzisha nae serious relationship

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habar ndugu zangu!! mimi na Mwanaumwe mwenye umri wa miaka 30' nimekuwa katika mahusiano lakini yasiyo na manufaa, i mean sio serious relation sababu ya aina ya wasichana wenyewe!

Now days wadada wengi ni wahuni, tamaa na si wife materials, kama unahisi wewe ni mdada mwenye heshima, maadili na unajitambua saana naomba ni PM please maana naamini Mungu anaweza simamia na kutuunganisha..

NB: dini yangu ni mkristo, naishi dar, nimeajiriwa na nina biashara pia.............!!

sibagui kabila wala rangi ila napenda mdada mrefu kiasi (asiwe mfupi) ili tuendane

thanks for understanding..........
 
nna rafiki yangu ila amekuzidi miaka kama mitano hivi lakini anakimwili kizuri anaonekana bado binti sana, kama hujali mambo ya umri nikuunganishe nae
 
Wake wema tupo..But kabla hujaanza kutafuta wife material jiulize je wewe ni husband material?.

yes' najitambua na naamini pia ni husband material!!! kama upo tayar naomba ni PM kama tutaendana tutashukuru Mungu
 
nna rafiki yangu ila amekuzidi miaka kama mitano hivi lakini anakimwili kizuri anaonekana bado binti sana, kama hujali mambo ya umri nikuunganishe nae

Nime ku PM
 
Daah kumbe skuiz mambo ni simpo ivi..
 
Sa mtu unajiweza halafu mademu vimeo, Ama kweli mungu hakupi vyote. Mi wanawake ninaokutana nao hawanisumbui kabisa japo sina hela tena napata treatment ya pekee hadi naona kama im mis-using them! Wanafaa kuoa kabisa yani hawana mapicha picha ila ndio sina mawe sasa natamani niwazalishe ila sipendi waje kuteseka na watoto kabla sijajipanga freshi. Inaboa sana duh,
 
ha h ah ahaaa...kila mtu hupangiwa mwenza na Mwenyezi Mungu !! Lakini kuendelea kujipanga tu kaka utafanikiwa
 
Nimependa iyo mistari miwili ya mwishoni najihisi km ni mimi vile! Ngojea nikuje PM
 
Dah hili swala la kuoa au kuolewa lipo sensitive bhana ck hizi hope ERIK upate unaemuhitaji ila dah kumpata mke au mume wa kweli ck hizi ni shughuli pevu zaidi ya kutafuta ajira ya kudumu
 
Girls opportunity hizo zinapatikana kwa shida sana na mwendo wa Mr JPM no money itumieni hiyo mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom