lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 529
- 655
Habari wapendwa,
Natafuta dada wa kazi anayejielewa . Nahitaji mtu anayeweza kulea mtoto na awe mchapakazi.
Mtoto wangu ana miaka 2 na hajisaidii kwenye nguo hivyo asiwe na wasiwasi.
Mwenye connection wa binti naomba anisaidie please anayeweza kulea mtoto kwasababu atakua anashinda nae nyumban mimi nikienda kazini.
Umri wowote ila asiwe chini ya miaka 16.
Mkoa wowote ila kwa sasa sitamani binti wa Tanga wala Singida (ila akipatikana mwenye nidhamu na kujielewa sawa.
Mimi niko Arusha na nakaa tu na mwanangu hvyo awe tayari kuishi Arusha.