Wakuu kwa ushauri wangu tafuteni wadada ambao mnafahamu historia yao. Hata kama humfahamu walau mty wa karibu anakuwa anamfahamu mahali anapotokea...Dunia ya sasa si kama ya zamani, wadada wamekuwa ni mawakala wa shetani kiasi kwamba anapokuja kwako anakuwa hana haja ya kazi kiviiile bali afanikishe malengo yake kama kuwaua watoto hasa wadogo, kusambaratisha ndoa n.k.
Kama huamini likikukuta ndipo utaamini, lakini itakuwa too late. Ndio ushauri wangu.