Natafuta dada wa Kazi za ndani

Natafuta dada wa Kazi za ndani

ukipata nigawie mie nahitaji wa day yaani babysitter afanye kazi 5days a week na ni chini ya masaa 8 kwa siku.
 
Wakuu kwa ushauri wangu tafuteni wadada ambao mnafahamu historia yao. Hata kama humfahamu walau mty wa karibu anakuwa anamfahamu mahali anapotokea...Dunia ya sasa si kama ya zamani, wadada wamekuwa ni mawakala wa shetani kiasi kwamba anapokuja kwako anakuwa hana haja ya kazi kiviiile bali afanikishe malengo yake kama kuwaua watoto hasa wadogo, kusambaratisha ndoa n.k.

Kama huamini likikukuta ndipo utaamini, lakini itakuwa too late. Ndio ushauri wangu.
 
Naitaji dada wa kazi za ndani,tuwasiliane kwa 0766474776

kunadada aliniambia nimtafutie kazi yuko arusha nilikutana nae nilipoenda kwa ndugu yangu nimkarimu n mchamungu ila anamtoto kama uko tayari ni pm.
 
kunadada aliniambia nimtafutie kazi yuko arusha nilikutana nae nilipoenda kwa ndugu yangu nimkarimu n mchamungu ila anamtoto kama uko tayari ni pm.

Ningekushauri umchukue huyo na mtoto wake awe mjukuu wako.Mimi nimefanya hivyo na huyu dada ni mchapa kazi na msafi.mtoto wake ni 3yrs na anacheza na wangu who is 2yrs.huwezi juwa tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom