Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Sep 15, 2016 #1 Amani iwe nanyi. Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa.
Amani iwe nanyi. Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa.
L lian rich JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 303 Reaction score 291 Oct 5, 2016 #3 Ningefurahi kupata kaka Ila kwenye umri ndo shida sasa
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Oct 5, 2016 #4 Chek na Gigy money...
N nyamii New Member Joined Sep 29, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Oct 5, 2016 #5 Comi said: Amani iwe nanyi. Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo kuanzia miaka 26-35, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa. Mwenye utayari ani pm. Click to expand... Hey
Comi said: Amani iwe nanyi. Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo kuanzia miaka 26-35, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa. Mwenye utayari ani pm. Click to expand... Hey
Twaps Member Joined May 26, 2011 Posts 50 Reaction score 28 Oct 5, 2016 #6 Dada wa hiari ndo anakuaje
chenjichenji JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 1,773 Reaction score 3,537 Oct 5, 2016 #7 Hii style yako ya kizamani sana.
puppa JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 379 Reaction score 176 Oct 9, 2016 #8 lian rich said: Ningefurahi kupata kaka Ila kwenye umri ndo shida sasa Click to expand... me nahitaji dada wa kuchat nae miaka 18-25
lian rich said: Ningefurahi kupata kaka Ila kwenye umri ndo shida sasa Click to expand... me nahitaji dada wa kuchat nae miaka 18-25
S Silia Andy Member Joined Sep 20, 2016 Posts 52 Reaction score 21 Oct 9, 2016 #9 Kodofan said: Chek na Gigy money... Click to expand... teh teh teh hiyo kitu ingine aisee!!!
S Silia Andy Member Joined Sep 20, 2016 Posts 52 Reaction score 21 Oct 9, 2016 #10 Twaps said: Dada wa hiari ndo anakuaje Click to expand... hebu dadavua hapo
Paul Mchumi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 1,040 Reaction score 1,273 Oct 9, 2016 #11 Sasa kama unataka dada wa kuchati nae kwanini una specify umri,we utakua una yako mengine zaidi ya kuchati.....vijana acheni mambo hayo hayatawasaidia chochote!
Sasa kama unataka dada wa kuchati nae kwanini una specify umri,we utakua una yako mengine zaidi ya kuchati.....vijana acheni mambo hayo hayatawasaidia chochote!