lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 182
- 123
Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting ,kunyohosha,kuchanganya rangi ,kupulizia rangi mimi niko mwanza natanguliza shukurani