Natafuta clearing and fowarding agent..

Natafuta clearing and fowarding agent..

comred

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
1,867
Reaction score
1,611
Wakuu msaada wenu ni mafanikio kwangu..
Natafuta clearing agent wa magari ambaye hababaishi..
Contact info zitasaidia zaidi
shukrani...
 
Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app

si kuna uzi unaowalalamikia humu? kaka subiri watakuja wenyewe
 
Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app

mimi ushauri wangu aagize gari kupitia be forward lakini clearing agent amtumie mwingine.

hawa be forward wameelemewa na kazi wako vijana wengi tu waaminifu.

kama utakosa clearing mwaminifu mwenye ofisi zinazoeleweka usisite kuwasiliana nami nitakupa mtu mwaminifu mtaelewana wenyewe.
 
Mkuu matola nime ku PM
 
mkuu tuwasiliane kwa cmu hii 0713 95 92 90 kuhusu clearing and forwarding
 
Back
Top Bottom