MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,706
- 21,854
au na wewe ni mwalim wa chemistry umeamua kuamia kwenye drugs,,natania jamaa ,aisee mr white umwambia kitu chochote kuhusu huu mzigo,haa haaha aa,acha niutafute hizo sehem tajwa hapo juu,nauelewa sana huu mzigoAhhhhh hii kitu hatari sana nilikuwa na pair tatu rangi tofauti nilivikuta mtumbani afu bei cheap pair tatu zote niliuziwa pamoja. Nilivipenda kutokana na Series namba moja duniani Breaking Bad vimevaliwa season zote na Mr White. Mpaka kuna kipindi nikaacha kuvaa sandle sana kuna mtoto mmoja mzuri akaja kuniambia kuniambia unapendeza ukivaa Wallabe zile mbona siku hizi uvai na hio ndio ilikuwa maneno ya kwanza kuongea na mimi na nilikuwa na mkubali ila domo linakuwa zito urafiki ukaanzia hapo..... kifuatacho ITV ilikuwa...... inabidi nitafuta pair zingine aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha Mr hisenberg.au na wewe ni mwalim wa chemistry umeamua kuamia kwenye drugs,,natania jamaa ,aisee mr white umwambia kitu chochote kuhusu huu mzigo,haa haaha aa,acha niutafute hizo sehem tajwa hapo juu,nauelewa sana huu mzigo
haha haha ile series is one of my best aisee lkn baada ya prison break[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha Mr hisenberg.
For real but angalia pia , "Better call saul, and Narcoshaha haha ile series is one of my best aisee lkn baada ya prison break
ngoja niitafute ,napenda sana series za nature hizoFor real but angalia pia , "Better call saul, and Narcos