natafuta chuo

natafuta chuo

ally masoud

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
44
Reaction score
5
ndugu zangu wa jf.
naomba mnishaur.
nimemaliza f4 2o11 nilipewa na balaza 4 ya 26 ambayo ni, kisw=c,eng
c,hist=f, na masomo yameyobaki nina d zote.
sina msaada wwte na maisha ni magumu.
natafuta lefa wa kunisaidia kujiunga na mifugo au afya.
 
Huyo refa atakusaidiaje? ada ya kulipia chuo cha mifugo au afya unayo?.
 
ada ndiyo ninayo.
ninahitaji mtu wa kunikingia kifua.
sifa na vgezo ninavyo na niko tayari kusoma mkoa wowote.
 
ndugu zangu wa jf.
naomba mnishaur.
nimemaliza f4 2o11 nilipewa na balaza 4 ya 26 ambayo ni, kisw=c,eng
c,hist=f, na masomo yameyobaki nina d zote.
sina msaada wwte na maisha ni magumu.
natafuta lefa wa kunisaidia kujiunga na mifugo au afya.

eti ulipewa na necta hiyo ni yako kama sio warudishie necta..
 
Kwa sasa upo mkoa gani? rudia mitihani 2 ili upate C moja katika somo mojawapo kisha uendelee na kidato cha tano na sita au chuo cha afya au kilimo bila kuhitaji mtu wa kukukingia kifua. Mara nyingi shortcut hupelekea kwenye long cut.

ada ndiyo ninayo.
ninahitaji mtu wa kunikingia kifua.
sifa na vgezo ninavyo na niko tayari kusoma mkoa wowote.
 
Dogo usipanic, izo marks zinatosha kuingia vyuo unavohitaji. Ingia kwenye tovuti za serikali National Website of the United Republic of Tanzania then nenda kwenye wizara husika hiyo ya afya na kilimo na umwagiliaji unaweza kukuta tangazo la masomo 2013/14 tena walivofeli ss iv wewe unafaa. Unaweza ukaanza na cheti au stashahada/ diploma kutokana na pass mark yako ilivo. Hustle dogo Mungu atakusaidia
 
ndugu zangu wa jf.
naomba mnishaur.
nimemaliza f4 2o11 nilipewa na balaza 4 ya 26 ambayo ni, kisw=c,eng
c,hist=f, na masomo yameyobaki nina d zote.
sina msaada wwte na maisha ni magumu.
natafuta lefa wa kunisaidia kujiunga na mifugo au afya.

Pole kwa matokeo hayo, lakini si mabaya sana kiasi cha kukosa chuo. Kuna chuo cha Takwimu nimesikia tangazo lake. Kinahitaji uwe na D tatu ikiwemo ya Hesabu kwa level ya cheti.
Ni chuo cha Serikali kipo karibu na chuo kikuu cha Dar Mlimani. Jaribu kufuatilia chuo hiki haraka iwezekanavyo kwan masomo yanaanza April mwaka huu 2013.
Pia waweza
Fuatilia clouds fm unaweza kubahatisha tangazo lake na pia kupata contact zao.
 
Back
Top Bottom