Habari wana JF najua hapa kuna wajuzi wa mambo mengi sasa mada yangu ni hii mimi kijana mwenzenu ninahitaji chuo kinachotoa basic certificate ya business administration kilichopo hapa Arusha mimi ni mgeni huku hivyo sijavijua vyuo kwa upande huu hivyo naombeni mnisaidie katika hilo wakuu pia kingine ni kwamba sina cheti kizuri cha Form four je naweza kupokelewa hivyo hivyo nilivyo na nikapigwa foundation course then niendelee mbele wakuu nia yangu ni kusoma hiyo course then ikiwezekana niende diploma ili niweze kufanya biashara zangu kiujuzi na kwa utaalamu mzuri zaidi.
NAWASILISHA WAKUU
NAWASILISHA WAKUU