Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
AsanteNenda kilimanjato institute, maxmillian collage n.k
Sasa utaweza ukikutana na programming kama hesabu zero
Rejea na kichwa cha habari hapo juu nikikuwa natafuta chuo kwa ajili ya kusoma kozi ya Information And Technology kwa hapa Dar Es Salaaam ngazi ya Certificate
Nipo hapa Dar natafuta cha day yaani kwenda na kurudiVyuo vingi chini ya NACTE wanataka D nne na hawasemi hesabu ni lazima. Hii haimanishi hesabu sio muhimu lakini wana amini utajifunza huko uko kama utakomaa na hiyo taaluma. Check NACTE website kuna guide book yenye vyuo vya ICT nchi nzima na viko wapi-uchague.
UCC - HQ UDSM, UCC ile ya Pale CRDB POSTA wamehamia Jengo la wizara ya UjenziNipo hapa Dar natafuta cha day yaani kwenda na kurudi
Vipo sehemu gani hivyo vyuoUCC - HQ UDSM, UCC ile ya Pale CRDB POSTA wamehamia Jengo la wizara ya Ujenzi
Kwani programming ya kwenye IT we unaona ni ngumu kwa mtu wa certificate. Si basic tu ileSasa utaweza ukikutana na programming kama hesabu zero
Watanipokea kweli auChuo kizuri nenda DIT au UDSM
Omba kwanza usikimbilie kukata tamaa mapemaWatanipokea kweli au
Chuo cha UDSM au UCCCOmba kwanza usikimbilie kukata tamaa mapema
Ingia UDSM ndani uliza ilipo idara ya IT kwa certificate. Nenda ukaulize kuhusu kudahiliwa uambatane na result slip au chetiChuo cha UDSM au UCCC
Sawa my kwani maombi wantuma palepale chuoni au mtandaoni?Ingia UDSM ndani uliza ilipo idara ya IT kwa certificate. Nenda ukaulize kuhusu kudahiliwa uambatane na result slip au cheti
Ungeanza na hao kama Mkuu SLIM5 alivyo shauri. UCC ukigoogle wana website na inaonyesha vituo vyao viko wapi (UCC Main Campus na Kingine karibu na Posta cheki hapo chini). DIT pagumu wao wanachukua F4 moja kwa moja kwa Diploma lakini wanaweka mkazo wa Hisibati, Physics etc kwani wana orientation ya engineering.Nipo hapa Dar natafuta cha day yaani kwenda na kurudi
UCC - HQ UDSM, UCC ile ya Pale CRDB POSTA wamehamia Jengo la wizara ya Ujenzi
Tangazo la UCC hilo hapoWatanipokea kweli au
Huyo hawezi hesabu aende UCC pale akasome IT. Asiende kusoma kozi zilizo idara ya ICT ya UDSM wenyewe atapata taabu sana hesabu za kutosha tu, kama alifeli basic math hatafaulu hiyo kozi labda afanye udaganyifu kwenye mitihani.Ingia UDSM ndani uliza ilipo idara ya IT kwa certificate. Nenda ukaulize kuhusu kudahiliwa uambatane na result slip au cheti
Nataka cha UDSM main CampusUngeanza na hao kama Mkuu SLIM5 alivyo shauri. UCC ukigoogle wana website na inaonyesha vituo vyao viko wapi (UCC Main Campus na Kingine karibu na Posta cheki hapo chini). DIT pagumu wao wanachukua F4 moja kwa moja kwa Diploma lakini wanaweka mkazo wa Hisibati, Physics etc kwani wana orientation ya engineering.
Location Contacts and Address:
NHC - TANCOT HOUSE 5th FLOOR, Pamba Road, (Near Azania Front Church)
Tel : + 255222136561
Fax +255222136560
Mobile: 0783566863/0655049891/0755743448
Email :cbtraining@uccmail.co.tz
Nafikiri wanafundisha kwa shift ingia
Fungua mchango wangu #17 utaona nani wa kudeal nae kwa barua, simu au e-mail. Heri na fanaka.Nataka cha UDSM main Campus