Manumbumichael
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 207
- 19
Habari za sasa hv wakuu,
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa kidogo kuhusu vyuo vinavyotoa diploma ya Clinical Medicine
Je ni vyuo gani vizuri vya private vinavyopatikana kati ya Dar es Salaam, Pwani au Morogoro au mikoa isiyo mbali na Dar es salaam vinavyotoa hiyo diploma??
Ambavyo ni vizuri