natafuta chuo cha tecnical

natafuta chuo cha tecnical

lee akyoo

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
14
Reaction score
1
mimi nimemaliza fourm 4 na kupa ta division 4 natafuta chuo cha tecnical ili kuchukulia fani yangu na chuo chenyewe kiwe kinatoa mafunzo ya electronic and communication
 
Mkuu jukwaa hili si mahala pa kuweka mambo ya elimu,nenda jukwaa la elimu
 
Back
Top Bottom