sanjomnyama JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 261 Reaction score 160 Jun 28, 2016 #1 Nimemaliza kidato cha nne nakupata Div3 ya 25 ila nataka kozi ya Afya kwa kuwa nina D mbili kwenye somo la Biology na Chemistry But phs sikusoma ayo masomo mengine nina Dna C chache je nitapata chuo kipi cha Afya??msaada jaman
Nimemaliza kidato cha nne nakupata Div3 ya 25 ila nataka kozi ya Afya kwa kuwa nina D mbili kwenye somo la Biology na Chemistry But phs sikusoma ayo masomo mengine nina Dna C chache je nitapata chuo kipi cha Afya??msaada jaman
mabala1990 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2012 Posts 213 Reaction score 143 Jun 29, 2016 #2 Labda uende moja kwa moja vyuoni uksulizie maana vyuo tayar vimeshadahili halaf toka mwez wa 4 wameanza kusoma
Labda uende moja kwa moja vyuoni uksulizie maana vyuo tayar vimeshadahili halaf toka mwez wa 4 wameanza kusoma
mashdaprinc Member Joined Jul 13, 2016 Posts 6 Reaction score 11 Jul 17, 2016 #3 Physics n muhm Sana kweny coz yeyote ya afya kama vle lab, nursing,,na nyngnezo.... Labda ujarbu one yr coz ya nurs
Physics n muhm Sana kweny coz yeyote ya afya kama vle lab, nursing,,na nyngnezo.... Labda ujarbu one yr coz ya nurs
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Aug 29, 2016 #4 kasome community health