David kahuka
Member
- Aug 11, 2013
- 28
- 5
Natafuta chumba maeneo ya Kuanzia ubungo mpk manzese!
Kiko chumba hapa Kimara. Hakina umeme wala ceiling board...maji ya kisima yanapatikana jirani, nyumba ya sita. Ndoo moja shs 700 tu.Natafuta chumba maeneo ya Kuanzia ubungo mpk manzese!
Asante ila soma vizuri maelekezo!Kiko chumba hapa Kimara. Hakina umeme wala ceiling board...maji ya kisima yanapatikana jirani, nyumba ya sita. Ndoo moja shs 700 tu.
Bei 250,000/ kwa mwezi.
Karibu