Natafuta chumba Tanga mjini

Natafuta chumba Tanga mjini

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
Wadau kuna ndugu yangu anatafuta chumba kizuri self contained Tanga mjini kwaajili ya kupangisha.

Maeneo ya chumbageni,donge,chuda au Tanga beach.

Bei isizidi 60 elfu.
 
Nenda maeneo haya utapata

Kange,Kasera,majani mapana,nguvumali kwa minchi au chumbageni

Haya maeneo niliyoyataja yametulia hayana rabsha kama wewe hupendi mambo ya kiswahili sana

Ila kange,kasera na nguvumali ni kuzuri zaidi

All the bests
 
Okay poa Mkuu
 
Back
Top Bottom