Natafuta chumba na sebule

SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
6,027
5,342
Habari. Natafuta Chumba na Sebule vya kupanga Dar es Salaam. Mwenye kuweza kunionyesha anisaidie tafadhali. Unaweza ni PM.
Asanteni
 
Na mimi natafuta chumba maeneo haya haya ,chumba na sebule pawe na umeme na maji kodi ya jumla isizidi Tshs. 70,000 kwa mwezi.

maeneo hayo hayo???? kwa bei hiyo??
ukipata nistue na mimi nijaribu bahati yangu
 
Na mimi natafuta chumba maeneo haya haya ,chumba na sebule pawe na umeme na maji kodi ya jumla isizidi Tshs. 70,000 kwa mwezi.

Mkuu kwa hiyo bei labda chumba kimoja waweza kupata na sio chumba na sebule.
 
Ukibadilisha mawazo unaweza kupata Kipunguni B, Kitunda karibu na stendi chumba (master), sebule na jiko kwa bei ya 100,000 kwa mwezi. Maji yapo na umeme upo.
 
Du mpaka napatamani ila mkuu ninapofanyia kazi inabidi niwe naamka 10:30 na ratiba ya kazi ni 12hrs so kurudi inamaana waweza fika saa 4 usiku.
 
  • Thanks
Reactions: pex
Na mimi natafuta chumba maeneo haya haya ,chumba na sebule pawe na umeme na maji kodi ya jumla isizidi Tshs. 70,000 kwa mwezi.
Hiyo bei kwa maeneo hayo huwezi kupata rafiki. Bei hiyo uende wilaya ya ilala au temeke siyo kinondoni!
 
A deal has closed. Nashukuru sana kwa ushirikiano mlionionyesha.
 
Na mimi natafuta chumba maeneo haya haya ,chumba na sebule pawe na umeme na maji kodi ya jumla isizidi Tshs. 70,000 kwa mwezi.
Mkuu kwa hiyo bei utapata meneo ya Tandale kwa Mtogole, Kwa Tumbo, Uzuri, Tandale Tanesco au kwa Alimaua, Kiwalani Bom Bom, Kwa Ali Mboa na Jet Lumo tena utapata chumba kimoja halafu banda la uani lisilo na umeme wala maji wala choo. Choo unajisaidia kwa majirani.
 
Hahahaaa..
 
Back
Top Bottom