Natafuta chumba self container,pamoja na sebule,kiwe kwenye nyumba ya kisasa,kiwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum,na kiwe na tiles,maeneo iwe ni kikuyu,area e,nkuhungu,area d,nyumba husika iwe na fence na kusiwe na wapangaji zaidi ya watatu.pia hata nikipata servant quarter sio mbaya.mwenye taarifa nacho naomba anipm