Njoo inbox, kwa picha na bei ya vyumbaHabari, mm ni mwanafunzi wa Chuo mwaka wa kawanza, natafuta chumba cha selfcontained Umeme na Maji yawepo. Sehemu iwe kati ya (Magomen,Jangwani,Kariakoo au Ilala) Budget around 70,000 - 150,000/-
Poa,Njoo inbox, kwa picha na bei ya vyumba
Njoo inbox, kwa picha na bei ya vyumba
Ninauzi wangu mkuu special kwa Nyumba na vyumba.Weka hapa boss unaweza pata na wateja wengine
Vina slide window, tiles?Njoo inbox, kwa picha na bei ya vyumba
NdioVina slide window, tiles?