Natafuta chumba maeneo ya Mabibo

Natafuta chumba maeneo ya Mabibo

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
24,197
Reaction score
39,684
Habari za kazi wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna dogo anakuja Dar kujiunga na masomo so namtafutia chumba/Hostel eneo tajwa hapo; hasa mabibo mpaka ubungo hicho kipande. Kama kuna dalali humu au mwenye nyumba naomba anichek PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom