Mimi ni mkaka wa miaka 34, naishi nje ya nchi ila narudi Tanzania baada ya muda mfupi ujao. Natafuta chumba kimoja kwa muda wa siku 12 hadi 13 nitakapokuwa Tanzania. Kuna baadhi ya watu wenye nyumba yenye vyumba vya ziada.
Ningependa kupata sehemu kama hiyo maeneo ya Hoysterbay, Mikocheni, Mbezi, Kawe, Bahari Beach, na Kunduchi. Ninasafiri peke yangu. Nitalipia na pia kuchangia chakula
Makazi yangu ni Bunju mwisho, ila kutokana na shuguli inayonileta, sitaweza kuamka kila siku na kuendesha gari hadi mjini bila kuechelewa. Ninachohitaji ni sehemu ninakoweza kupaki gari langu dogo, kupata maji ya kuoga na choo safi. Ningekaa hotelini ila kwa bahati mbaya sipendagi mazingira ya hoteli hasa ninaporudi nyumbani
Tafadhali tuwasiliane kupitia mbezi1980@yahoo.com