B Be happy Member Joined Apr 25, 2012 Posts 39 Reaction score 26 Jan 27, 2013 #1 Iwe Mitaa ya Ubungo au mitaa ya kimara baruti
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,857 Reaction score 2,088 Jan 28, 2013 #2 hakuina namba ya simu hakuna chumba kiweje hakuna dau uklilonalo ndugu yangu utapata kweli?
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,710 Reaction score 1,660 Jan 28, 2013 #3 laki 2 chumba self unazo weye?? Wewe tumia tu madalali!
B Be happy Member Joined Apr 25, 2012 Posts 39 Reaction score 26 Jan 28, 2013 Thread starter #4 Kama una namba ya dalali naomba
B Be happy Member Joined Apr 25, 2012 Posts 39 Reaction score 26 Jan 28, 2013 Thread starter #5 Secret Star said: hakuina namba ya simu hakuna chumba kiweje hakuna dau uklilonalo ndugu yangu utapata kweli? Click to expand... Chumba cha kawaida cha kutosha kitanda cta kwa cta, dressing table, meza ya tv na vyombo. Kuhusu namba ya cm labda mtu akini pm km ana hcho chumba.
Secret Star said: hakuina namba ya simu hakuna chumba kiweje hakuna dau uklilonalo ndugu yangu utapata kweli? Click to expand... Chumba cha kawaida cha kutosha kitanda cta kwa cta, dressing table, meza ya tv na vyombo. Kuhusu namba ya cm labda mtu akini pm km ana hcho chumba.