Mitaa ipiJaman ninataka room ya kupanga morogoro iwe self contained pia security iwepo
jumla si 4 teyali viwili kulala na sebule+jiko ama andaa 120,000 kwa mwez apoHio kubwa mno mkuu mm cna familia nataka chumba kumoja self au viwil vya kulala na sebule na jiko
ujasema unataka mahali gani ningekusaidia lakin kwa sasa sipo mkoaniMkuu bajeti ni kilo tu kwa mwezi kama ntaweza pata
Yani ni kama nyumba ina rum mbili,choo,jiko sebule, uzio nkBei shngap na zote ni self au?? Jumapili nahamia huko
Kihonda sehemu gankalibu home home sweet kihonda
200k kwa mweziHiyo ni shngap??