Tajiri wa upendo OG
Senior Member
- Mar 15, 2020
- 174
- 243
Nimekuwa nikihangaika kupata chumba Cha kufanyia Biashara kwa muda wa wiki mbili Sasa ambacho kipo eneo zuri linaloendana na Biashara ninayotaka kuifanya, mwenye connection ya watu naweza kupata chumba msaada tafadhari.!!
Ntamuwezesha kdg akifanikisha dili hilo.
Ntamuwezesha kdg akifanikisha dili hilo.